Mwanafunzi wa darasa la Tano, Shule ya Msingi Ndola Mbalizi Abubakari Shabani Mwamba akichangia shilingi 400 katika harambee ya ujenzi wa hosteli za Kike Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera akichangia harambee ya ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya jijini humo leo Mei 25,2023.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha akiambatana na sehemu ya Menejimenti ya Chuo hicho kutoka Kampasi Kuu, wamefanya ziara ya kikazi Ndaki ya Mbeya leo tarehe 22 Aprili,…
Read More
Makamu mkuu wa Chuo kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha amewaongoza wajumbe wa Menejimenti kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Ndaki ya Mbeya. Miradi…
Read More
Chuo Kikuu Mzumbe kinawaalika wahitimu wake pamoja na wadau wengine wa elimu na wapenda maendeleo kuchangia ujenzi wa Hosteli ya wanafunzi wa kike kampasi ya Mbeya. Kwa pamoja tuwe sehemu…
Read More
MBEYA CAMPUS COLLEGE Forest Area - Mbeya City Mzumbe University P.O.Box 6559, Mbeya, Tanzania Tel: +255 (0) 252502863 /57/58 Fax: +255 (0) 252502862 email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.